Search results

  1. S

    CHADEMA YAMLIMA BARUA MCHOME " ATOE MAELEZO NDANI YA SIKU 14"

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoa wa Kilimanjaro kimemuandikia Barua, Lembrus Mchome ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mwanga kwa kosa la utovu wa nidhamu, kufuatia kuhoji kwake uhali wa baadhi ya wajumbe wa kamati Kuu, waliopitishwa na Baraza Kuu ikiwemo Katibu Mkuu wa...
  2. S

    MAKAMU WA RAIS KUZINDUA MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA PWANI

    MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa utakaofanyika Aprili 2, 2025, katika viwanja vya Shirika la Elimu Tumbi, Kibaha, mkoani Pwani. Taarifa hiyo imetolewa Machi 26, 2025, na Waziri...
  3. S

    RWANDA YAFUNGA RASMI UBALOZI WAKE NCHINI UBELGIJI

    Serikali ya Rwanda imefunga rasmi Ubalozi wake nchini Ubelgiji kufuatia kukatishwa kwa uhusiano wa Kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Ubalozi wa Rwanda huko Hague, Uholanzi, sasa utashughulikia huduma za kibalozi...
  4. S

    WELCOME TO TEFAO

    Nzuri hii tupo pamoja, let's start here
Back
Top