MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa utakaofanyika Aprili 2, 2025, katika viwanja vya Shirika la Elimu Tumbi, Kibaha, mkoani Pwani.
Taarifa hiyo imetolewa Machi 26, 2025, na Waziri...